Tija za Mwangwi wa Falsafa ya Wapare zinazodhihirika katika Riwaya ya Kufikirika

IKISIRI: Utafiti huu unahusu kuchambua tija za mwangwi wa falsafa ya Wapare zinazodhihirika katika riwaya ya Kufikirika.Utafiti huu uliongozwa na lengo mahususi moja ambalo ni: Kuchambua Tija za mwangwi wa falsafa ya Wapare zinazodhihirika katika riwaya ya Kufikirika. Kwa kuzingatia lengo la utafiti huu, mbinu zilizotumika katika ukusanyaji wa data ni mbinu ya udodosaji na mbinu ya usomaji maktabani. Kwa kutumia mbinu hizi mbili, data zilichanganuliwa kwa kutumia mkabala wa kitaamuli yaani, maelezo yalizingatiwa katika uchambuzi wa data. Uchambuzi wa data uliongozwa na Nadharia ya Elimu Jamii iliyoasisiwa na Hippolyte Taine (1864).Utafiti wa makala haya ulitumia sampuli ya riwaya moja ya Kufikirika na watafitiwa kumi. Utafiti wa makala haya ulitumia Usampulishaji lengwa tajwa mpokezano. Kupitia mkabala wa kitaamuli, uwasilishaji wa matokeo ya utafiti yameonesha kuwa, tija zamwangwi wa falsafa ya Wapare zinazodhihirika katika riwaya ya Kufikirika ni kama ifuatavyo: Husaidia kuponesha maradhi mbalimbali kupitia matumizi ya dawa za asili, husaidia katika ulinzi wa jadi kupitia mazindiko na dawa za asili. Pia, husaidia kudumisha mila na desuri za jamii kupitia utekelezaji wa matambiko na uganga, husaidia kuleta mvua kupitia utekelezaji wa matambiko ya mvua. Vile vile, husaidia jamii kuishi kwa amani na utulivu kupitia masuala ya ugangana matambiko, husaidia kustawisha mazao kupitia utekelezaji wa kafara na matambiko. Husaidia jamii kuishi kwa kuaminiana kupitia viapo na masuala ya uganga, husaidia kudumisha umoja na mshikamano katika jamii kupitia shughuli mbali mbali za kijamii. Pia, husaidia kuleta utawi wa familia kupitia masuala ya ndoa na uzazi, husaidia kuongeza ukoo kupitia falsafa ya familia pana. Title: Tija za Mwangwi wa Falsafa ya Wapare zinazodhihirika katika Riwaya ya Kufikirika Author: Rehema Hassan Koshuma, Dkt. Hadija Kutwa Abdallah International Journal of Social Science and Humanities Research ISSN 2348-3156 (Print), ISSN 2348-3164 (online) Vol. 14, Issue 4, October 2026 - December 2026 Page No: 263-273 Research Publish Journals Website: www.researchpublish.com Published Date: 24-October-2026 DOI: https://doi.org/10.5281/zenodo.23614491 Paper Download Link (Source) https://www.researchpublish.com/papers/tija-za-mwangwi-wa-falsafa-ya-wapare-zinazodhihirika-katika-riwaya-ya-kufikirika

Authors

Publication Details

Journal
Zenodo (CERN European Organization for Nuclear Research)
Published
2026-10-24
DOI
https://doi.org/10.5281/zenodo.23614490
Primary Topic
Postcolonial and Cultural Literary Studies
Type
article
Field-Weighted Citation Impact
0.00
Controls
|||
ALL TIME
JAN
FEB
MAR
APR
MAY
JUN
JUL
AUG
SEP
OCT
article

Tija za Mwangwi wa Falsafa ya Wapare zinazodhihirika katika Riwaya ya Kufikirika

Rehema Hassan Koshuma, Dkt. Hadija Kutwa Abdallah
Zenodo (CERN European Organization for Nuclear Research)
Postcolonial and Cultural Literary Studies
article

Tija za Mwangwi wa Falsafa ya Wapare zinazodhihirika katika Riwaya ya Kufikirika

Rehema Hassan Koshuma, Dkt. Hadija Kutwa Abdallah
article en

Abstract

IKISIRI: Utafiti huu unahusu kuchambua tija za mwangwi wa falsafa ya Wapare zinazodhihirika katika riwaya ya Kufikirika.Utafiti huu uliongozwa na lengo mahususi moja ambalo ni: Kuchambua Tija za mwangwi wa falsafa ya Wapare zinazodhihirika katika riwaya ya Kufikirika. Kwa kuzingatia lengo la utafiti huu, mbinu zilizotumika katika ukusanyaji wa data ni mbinu ya udodosaji na mbinu ya usomaji maktabani. Kwa kutumia mbinu hizi mbili, data zilichanganuliwa kwa kutumia mkabala wa kitaamuli yaani, maelezo yalizingatiwa katika uchambuzi wa data. Uchambuzi wa data uliongozwa na Nadharia ya Elimu Jamii iliyoasisiwa na Hippolyte Taine (1864).Utafiti wa makala haya ulitumia sampuli ya riwaya moja ya Kufikirika na watafitiwa kumi. Utafiti wa makala haya ulitumia Usampulishaji lengwa tajwa mpokezano. Kupitia mkabala wa kitaamuli, uwasilishaji wa matokeo ya utafiti yameonesha kuwa, tija zamwangwi wa falsafa ya Wapare zinazodhihirika katika riwaya ya Kufikirika ni kama ifuatavyo: Husaidia kuponesha maradhi mbalimbali kupitia matumizi ya dawa za asili, husaidia katika ulinzi wa jadi kupitia mazindiko na dawa za asili. Pia, husaidia kudumisha mila na desuri za jamii kupitia utekelezaji wa matambiko na uganga, husaidia kuleta mvua kupitia utekelezaji wa matambiko ya mvua. Vile vile, husaidia jamii kuishi kwa amani na utulivu kupitia masuala ya ugangana matambiko, husaidia kustawisha mazao kupitia utekelezaji wa kafara na matambiko. Husaidia jamii kuishi kwa kuaminiana kupitia viapo na masuala ya uganga, husaidia kudumisha umoja na mshikamano katika jamii kupitia shughuli mbali mbali za kijamii. Pia, husaidia kuleta utawi wa familia kupitia masuala ya ndoa na uzazi, husaidia kuongeza ukoo kupitia falsafa ya familia pana. Title: Tija za Mwangwi wa Falsafa ya Wapare zinazodhihirika katika Riwaya ya Kufikirika Author: Rehema Hassan Koshuma, Dkt. Hadija Kutwa Abdallah International Journal of Social Science and Humanities Research ISSN 2348-3156 (Print), ISSN 2348-3164 (online) Vol. 14, Issue 4, October 2026 - December 2026 Page No: 263-273 Research Publish Journals Website: www.researchpublish.com Published Date: 24-October-2026 DOI: https://doi.org/10.5281/zenodo.23614491 Paper Download Link (Source) https://www.researchpublish.com/papers/tija-za-mwangwi-wa-falsafa-ya-wapare-zinazodhihirika-katika-riwaya-ya-kufikirika

Zenodo (CERN European Organization for Nuclear Research)
Openalex Percentile: Top 1%
Postcolonial and Cultural Literary Studies
AI Navigator

Ask Laika to Summarize, Analyze, and Connect papers live on the map.

Summarize Papers & Methodologies

Extract key findings, datasets, and comparative methods across publications.

Benchmark Rankings & Visual Analytics

Rank top research institutions, authors, funders, topics, and journals by Field-Weighted Citation Impact (FWCI) and paper volume with instant charts.

Connect Distant Disciplines

Bridge topological clusters on the map to find hidden collaborative intersections.

Laika access coming soon